#COVID19 Waziri Gwajima: Sisi viongozi tulishachanjwa chanjo ya Corona na sasa tunaelimisha wananchi nao Wachanje

Haya sasa, mnaolilia chanjo mmepata majibu sasa. Unadhani waziri ataanza kupata chanjo ndani ya nchi kabla ya Rais? Hii ni dhairi atakachochanjwa Rais kesho ni danganya toto.

Wamechoma kwa kujificha? Hawakujua kama wao wakichanjwa hadharani wanaweza kuhamasisha watu kujitokeza kuchanjwa? au ndio wanasubiri kutenga Fungu la kuwapa wasaniii wawahamasishe wananchi kuchoma sindano ya chanjo?
Zakuambiwa changanya na zako
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
Huyu kachanja lini? Wapi? Alichanjwa na "Brand" ipi ya Chanjo? Akiwa na akina nani? Tukio lilionyeshwa na kituo kipi cha televisheni? Elimu inabidi ianzie hapo kwanza ndio tuitafakari.
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
Walichanja lini tena jamani wakati walituonyesha kwa mbwembwe namna ya kunywa malimao na tangawizi
 
Umekosea. Gwajima kasema watachanjwa wote kesho. Acha upotoshaji
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Hahah yule mama kachanjwa lini tena?

Ila bongo kweli nyoso, nikikumbuka mama alivyokuwa anaadvertise nyungu hadi tukaijua na sura ya mumewe...😂😂
 
Waziri Gwajima umechanja lini?? Lazima uchanje hacharani na mumeo!! Mbona nyungu mlikuwa mnapiga na mumeo mbele ya kamera! Lazima uchanje mbele yetu na tujiridhishe kwa kunasisha sarafu ya sh 100/=.

Sehemu uliyochanja!! Maana usije ukajichanja maji matupu ukatuingiza chaka! Mpaka shilingi 100/= inase kama kwenye sumaku!! Na mabeberu wanawachora mjue!!
 
Nyani Ngabu sasa iweje hawa “Viongozi” wawe wameshachanjwa halafu Samia alikuwa bado!? Ná kwanini walifanya siri hadi hii leo!? Na walichanjwa chanjo ipi ikiwa J & J ndiyo wamepokea juzi?
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Waziri Gwajima umechanja lini?? Lazima uchanje hacharani na mumeo!! Mbona nyungu mlikuwa mnapiga na mumeo mbele ya kamera! Lazima uchanje mbele yetu na tujiridhishe kwa kunasisha sarafu ya sh 100/= sehemu uliyochanja!! Maana usije ukajichanja maji matupu ukatuingiza chaka! Mpaka shilingi 100/= inase kama kwenye sumaku!! Na mabeberu wanawachora mjue!!
Usimsikilize mtoa mada, ni mwongo. Uzinduzi ni kesho
 
Madhara ya kuongoza kulingana na matukio......
Mara mama ndio ataonyesha kwa mfano mara nyie mshachanja.

Kila mtu kawa msemaji......

Dah, kwa mkuu wa kitengo cha chanjo mbona yupo kimya.....
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.
Inakuwaje waziri alishachanjwa halafu rais anachanjwa kesho? Au danganya Toto na water for injection alishachanjwa tayari?
 
Nyani Ngabu sasa iweje hawa “Viongozi” wawe wameshachanjwa halafu Samia alikuwa bado!? Ná kwanini walifanya siri hadi hii leo!? Na walichanjwa chanjo ipi ikiwa J & J ndiyo wamepokea juzi?
At this point let’s just use our common sense .

Nasita kuamini moja kwa moja lolote wasemalo hawa watu…kuanzia Rais hadi kwa askofu feki Gwajima.

Kwa hiyo kesho Samia anaenda kudungwa sindano gani?

These people are full of shit.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom