Nchi nyingi sasa hivi zinashiriki mashindano ya Kimataifa ya riadha nchini Doha.Hata majirani zetu WA Kenya na Uganda wapo kule wanashiriki mashindano.Sisi Tanzania hatupo,sikui Kama ofisi yako ina ratiba ya mashindano ya kimataifa yanayo endelea dunia .Kushiriki mashindano ya kimataifa kunajenga hail ya kujiamini kwa wanariadha wetu,Jina la Tanzania limefutika katika ramani ya michezo duniani