Waziri Dr Mwakyembe Doha kuna nini

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,143
1,291
Nchi nyingi sasa hivi zinashiriki mashindano ya Kimataifa ya riadha nchini Doha.Hata majirani zetu WA Kenya na Uganda wapo kule wanashiriki mashindano.Sisi Tanzania hatupo,sikui Kama ofisi yako ina ratiba ya mashindano ya kimataifa yanayo endelea dunia .Kushiriki mashindano ya kimataifa kunajenga hail ya kujiamini kwa wanariadha wetu,Jina la Tanzania limefutika katika ramani ya michezo duniani
 
Siku ya ufunguzi wa mashindano hayo kulikuwa na mtanzania alikuwepo, alishiriki Marathon kwa wanawake

Kuwa na data kabla hujalalamika, usije ukaitwa muongo
Tupo Watanzania zaidi ya mil 50 kupeleka mtu mmoja kuna uwiano wowote ule
 
Gide budaya aliwaomba radhi wanariadha kwa serekali na shirikisho la riadha kwa kushidwa kuwaandalia kambi. Na kuna ambae alishindwa kumaliza mbio kwaajili ya hali ya joto kali.
 
Tupo Watanzania zaidi ya mil 50 kupeleka mtu mmoja kuna uwiano wowote ule
Bosi mbona unakuwa msahaulifu hivyo

Kwenye mada Yako so umesema watanzania hatupo, nimekuambia kuwa watanzania tupo, Sasa umebadilisha gia kuwa "kupeleka mtu mmoja"

Hi ni Jamiiforums mkuu kuwa na data zilizokamilika

Angalia siku ya Marathon ya wanaume wakikimbia halafu angalia Kama kutakuwa hamna watanzania, ukimaliza kuangalia njoo hapa uje kuedit mada Yako kuwa Watanzania hatupo
 
Siku ya ufunguzi wa mashindano hayo kulikuwa na mtanzania alikuwepo, alishiriki Marathon kwa wanawake

Kuwa na data kabla hujalalamika, usije ukaitwa muongo
Halafu alikata pumzi mapema tu kwenye hizo mbio ingawa pia waliomaliza ni wachache sana maana zilikuwa mbio za 50 km
 
Siku ya ufunguzi wa mashindano hayo kulikuwa na mtanzania alikuwepo, alishiriki Marathon kwa wanawake

Kuwa na data kabla hujalalamika, usije ukaitwa muongo
Unaweza kukuta huyo mdada ndio mwanariadha pekee tuliompeleka,ila viongozi walioenda nae huko wanaweza kufika 20!
 
Gide budaya aliwaomba radhi wanariadha kwa serekali na shirikisho la riadha kwa kushidwa kuwaandalia kambi. Na kuna ambae alishindwa kumaliza mbio kwaajili ya hali ya joto kali.
Kwa hiyo hakuna aliyemaliza mbio hizo kwa sababu ya joto! Kwanini hakubeba A/C kama wenzake waliomaliza.
 
Back
Top Bottom