Huko India wanatibiwa bure nini?
kwikwi kwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiNdio Loliondo ya elite class
India ni rahisi hata hiyo Agakhan hapo Dar ni ghali. It is very cheap but with excellent matibabu. Wanavutia wateja kutoka pande zote za dunia. hata USA Australia na China wote wamo humo. Ni kwamba wale specialists mabingwa wamo kule hasa madoctor wa kutoka waCuba hawataki kulipwa ghali sana.
nami nimesikia leo asubuhi via rfa magazetini eti alipelekwa juzi
" MUNGU AMPONYE HARAKA "
wakuu huyu jamaa chemi haumwi, nasikia katumwa na kile kikundi cha mauwaji cha ccm kwenda kuwamaliza mwakyembe na prof mwandosya. Angalizo kwa mwaky na mwandosa huyu jamaa asifike hospital mlizolazwa atawamaliza wala asiwakaribie hata kidogo anasumu kali sana ya kuwamaliza.
He!teh,teh,teh,twi,mbwi!
Huko India wanatibiwa bure nini?
Jamani kwa hali hii tumefika pabaya mpaka watu wanashangilia viongozi kuugua, hata kama ni mafisadi hebu tuwe na moyo wa ubinadamu. Hii ya ufisadi tumwachie Mungu atawaadhibu na usikute ndo ameanza kutoa kichapo, hatuna haja ya kuwatakia mabaya wagonjwa wetu.
Mi wasi wasi wangu kuhusu wagonjwa walioko huko muda mrefu, inabidi wakae mkao wa kujilinda zaidi maana huwezi kujua hawa wagonjwa wapya ni kweli wagonjwa au wanaenda kwa kazi maalumu.
Nchi inahitaji mabadiliko ya lazima hakuna options!! we need the changes, na wazungu walishaona kipindi hiki ndo watuvune haswa mpaka tutoboke mifuko. Utasikia serikali imekopa, mara dharura, mara kampuni la kimarekani mara NGOs hadi machozi ya damu yatutoke.
Wana JF,
Nimesikia uvumi kuwa Waziri Chami nae amelazwa na anatibiwa huko India, Je hii ni kweli?
Mwenye taarifa atuhabarishe.
Wazee haumwi, amekwenda kufanya medical check-up. Nyalandu ameongea lugha laini "amejisikia vibaya
kama watu wengine" Maana nyinyi CDM mna viherehere sana kama angesema amekwenda kufanya medical
check up mngemshikia bango!
kk mi hapo kwenye redi sijakuelewa, mm mpaka hapa nilipo nina umri zaidi ya nusu ya laifu spani ya mwafurika, hakuna ndugu jamaa wala jiran aliwah kuugua akaenda india coz hawana uwezo, sasa unaposema "wananchi wengi" nakuhisi vibaya kuwa umelewa pesa za wavuja jasho maskin wa kitanzania ukiwa na fikra kuwa kila mtu ana hali swafi km yako/yenu.Hivi serikali haiwezi kuwaleta hao madaktari wa kihindi pamoja na vifaa vyao hapa TZ kama madaktari wetu hawana uwezo wa kuwatibu wagonjwa wetu? Siyo tu viongozi wetu wanakwenda India, wananchi wengi sana wanakwenda huko kwa sababu hawana imani na na hospitali zetu.
Penye Lime color yeye ni nani na sisi watu tumemwambia tunadhani nini?"Haumwi kama watu wanavyodhani, ni kwamba amejiskia vibaya kama watu wengine wanavyoweza kujiskia na hivyo amekwenda hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi" hii ni kauli ya Naibu Waziri Kijana wa viwanda na biashara ndg Razaro Nyarandu alipoulizwa juu ya afya ya Bosi wake Dr Chami.
Hapa ninajiuliza maswali kadhaa!
Mosi, hivi Nyarandu anaposema anajiskia kama wanaweza kujiskia watu wengine, je hao watu wengine wakijiskia nao waende India?
Pili, hapa kwetu hakuna madaktari wa kufanya uchunguzi wa mtu akijiskia kawaida?
Tatu, anataka kutuambia kodi zetu zimewafanya wajisahau namna hiyo hata kama mtu akijiskia ugonjwa wa kawaida akafanye vipimo nje ya nchi?
Nne, inamaana viongozi wa nchi hii wanajua udhaifu wa hospitali zetu na hivyo hawaamini kuzitumia hata pale wanapojiskia kuumwa kawaida tu?