Majira bado hawajiamini. Na wao wanataka kukoroma ila woga mwingi. TAJA HUYO WAZIRI. mambo ya kusema waziri mmoja, mweupe, mfupi nk. wakati ana jina yanajaza ukurasa bure. Say who is he!
Kweli kabisa, huu ni upuuzi na udaku mtupu. Kama unaleta issue hapa kusanya data then mwaga issue, hatutaki kuambiwa waziri fulani bin fulani, mtoto wa kigogo fulani. Kama huwezi kumwaga issue basi kaa kando usipoteza muda wa watu hapa kusoma topic yako maana unaifanya ni siri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.