Waziri atumia madaraka vibaya

Majira bado hawajiamini. Na wao wanataka kukoroma ila woga mwingi. TAJA HUYO WAZIRI. mambo ya kusema waziri mmoja, mweupe, mfupi nk. wakati ana jina yanajaza ukurasa bure. Say who is he!
 
Tupe habari bwana siyo udaku.Waziri hana jina au huyo mtoto wa kigogo hana jina? Kama habari ni za ukweli taja majina.
 
Tupe habari bwana siyo udaku.Waziri hana jina au huyo mtoto wa kigogo hana jina? Kama habari ni za ukweli taja majina.

Kweli kabisa, huu ni upuuzi na udaku mtupu. Kama unaleta issue hapa kusanya data then mwaga issue, hatutaki kuambiwa waziri fulani bin fulani, mtoto wa kigogo fulani. Kama huwezi kumwaga issue basi kaa kando usipoteza muda wa watu hapa kusoma topic yako maana unaifanya ni siri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom