ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,997
- 46,091
Kwanini unchallenge mtu wa rais?
Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi.
Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake. Washauri wake mtaandika mengi ila Waziri hata kama angekuwa na elimu ndogo ana washauri wake; Makatibu, Watendaji, muundo wa siasa ndo huko hivyo.
Mtu kweli from nowhere atangaze kuja kwa satellite halafu watu wamdharau kwamba ni kitu ameropoka, sio kweli huu utakuwa wivu mtaendelea kuandika mambo ya hovyo.
Itoshe kwa kusema viongozi wote unaowaona wewe wana washauri wao tena watalaam. Waziri huletewa report nyingi sana hivyo lazima hata angekuwa mtu yoyote angeyajua mengi.