Waziri alidanganya Bunge, aingia 18 za Zitto!

Waziri alidanganya Bunge, aingia 18 za Zitto!

Kwa rasilimali ya ardhi na maji tuliyonayo nchi hii inaweza kujiendesha bila hata hizo chimba chimba sema sasa ndio hivyo Mkapa alifungua mlango. Mara kumi tungeacha watu wetu wawe wanachimba kwa masururu maana wangechimba hata miaka 200 wasingeimaliza. Sasa hiyo Buzwagi imeanza juzi tu jamaa wameshakomoa, kule Mwadui nako nasikia hamna kitu! juzi juzi kuna mzungu alikuwa anatafutwa kwa udanganyifu wa kampuni ya madini kwenye mapato yao. Tunaambiwa sisi wa pili kwa dhahabu ukitoka Ghana lakini nenda Accra ukaangalie dhahabu yao inavyowatendea.

Namini yalikuwa ni masharti ya kupata ule msamaha wa madeni, sasa cha kujiuliza kwa wakti ule deni halikufika 10 tril. je sasa linaelekea 30 tril. hali itakuwaje? jamaa wakija watataka nini? Tuombe mungu wasije na sharti la kutaka kuhalalisha USHOGA.
 
Wadanganyika tuna kazi watu wanaujua ukweli lakini kwa makusudi kabisa wanajifanya hamnazo, jamani mwanzo wa matatizo haya ni ccm na mwisho wa matatizo haya ni kuitoa ccm madarakani na kuleta chama kingine na kwa sasa ni Chadema, yaani tunatakiwa kuiondoa ccm kwa njia yyoyote ile. la sivyo tutaendelea kunugunika huku akina naibu katibu mkuu wa ccm bara wanakula viyoyozi kwa pesa ya watanzania, huyu jamaa ni hatari sana ana mpaka wafanya kazi wa kumvua viatu wakati akifika nyumbani kwake, sasa unafikiri watu wa aina hii watakuwa tayari kuona democrasia inachanua katika nchi hii!!!?
 
Namini yalikuwa ni masharti ya kupata ule msamaha wa madeni, sasa cha kujiuliza kwa wakti ule deni halikufika 10 tril. je sasa linaelekea 30 tril. hali itakuwaje? jamaa wakija watataka nini? Tuombe mungu wasije na sharti la kutaka kuhalalisha USHOGA.

I dont even want to imagine

Lakini relativelly speaking nchi inakusanya mapato mengi zaidi now ingawa na deni limeongezeka ila ukiangalia proportionally kama tupo pale pale maana ongezeko la uwezo wa kulipa na ongezeko la deni vimeendana.
 
Tatizo na hizi target wanazojiwekea nyingi short term mfano serikali inatakiwa iongeze mapato , watapata wapi mapato? lazima wawaite Seven Sisters waanze kuzunguka baharini kutafuta Gas na mafuta. Kila kiongozi anapimwa kwa utawala wake wa miaka mitano mitano tunategemea ilani. Huko mbele labda tuwe na ilani ya Taifa ya miaka hamsini hamsini.

Hatuna mambo ya msingi ya kitaifa ambayo tumeyaweka pamoja ila watu washindane namna ya kuyashughulikia. Sasa hivi kila chama na kila kiongozi anakipeo mbele chake. wewe fikiria Lowasa alikuwa elimu ameondoka kaja pinda Kilimo kwanza, wakimtoa pinda atakuja atasema lake. Hatuendi
 
hii serikali yetu haipo kuna watu wapo pembeni wanaendesha nchi kama remote
 
Zzk vs Prof. Muhongo, hizo 300 bil hata kama zingekusanywa zingepigwa kwenye warsha,semina ,kongamano, mtanzania wa kawaida hana anachopata hapo, chenji ya rada walikataa wasipewe NGO ili zisaidie sekta ya Elimu ziko wapi?, chakula kimeungulia jikoni jitihada zinafanyika dinning kukirekebisha kilike!
 
Sasa nimeamini ukikaa na wadokozlazima na wewe utaja kuwa mdokozi/mla rushwa
Uyu mzee Prof Muhogo nilimwamini sanawakati anaingia yaani nae kaanza kutugeuka
Zitto komaa nae mpaka kieleweke maana usikute keshapata mgao apo anataka kutufanya sisi VICHAA
Sasa uprofession gani huo
 
Idadi ya wenye akili kama za akina LUKOS naona kwenye huu uzi wote wamelala mbele.
 
.... THINK TWICE.....when it comes to ZITTO...

... ZITTO ni mhuni & anajua wazi WAZIRI WA NISHATI NA MADINI....alimuumbua kuhusu suala la mafuta mazito ya tanesco....

...Zitto alikuwa anakula fedha nyingi mno kuanzia 800 mil per month kama gawio lake kila mwezi.... Waziri aliwaumbua na kuwataja wazi.....

.... To remind u jf members.... Mafuta mazito, serikali ilikuwa inalipa 15 bil monthly kutumika kuwashia generators.... but hata hayo mafuta yalikuwa hayatumiki....kwani ni mchezo mchafu wa kufunga maji ili KUSEMA MAJI MADOGO KWENYE DAMS THEN SERIKALI ITOE FEDHA OF WHICH WANAPIGA SIMU TU THEN WALE MAFUNDI WANAACHIA MAJI SO HATA YALE MAFUTA HAWAYATUMIII SAY ONLY SINGLE GENERATOR WANAWASHA KUHADAA PUBLIC.....

.... SO ZITTO NI MHUNI SAANA SANA....MWIZI KABISAA .... NDIO VITA ANAYOANZISHAA.....JUST KUMCHAFUA WAZIRI.....

....ZITTO NI MLA RUSHWA NA KIGEUGEU MOST OF TIME NA ANATUMIKA KUIUA CDM PIA....

....tuwe makini na Zitto ....

looser!

wewe ndio hauna akili kabisa, na inawezekana wewe ndio waziri

zito angekuwa mchafu kama unavyotaka tuamini siku nyingi sana angekuwa ameishaumbuliwa na vithibitisho!!!


sasa kama ni kusema tu, mbona mm mwenyewe washasema nimelala na mama yako, kwani kweli??

acheni hizo........
 
ccm wameibemenda elimu ili tuwe mazoba!
 
Watanzania tunadhani kuna nchi mbadala ambayo hapa pakishindikana tutaenda huko.
Nchi za kiarabu wewe kama ni Mtwana huruhusiwi hata kuongelea kumiriki ardhi huko.
Wao wakija hapa wakigawa vilemba bila kanzu wanakatiwa pande la ardhi likiwa na Wahadzabe wote ndani.
Huko Ulaya na Marekani ili upate ardhi unahitaji ushinde bahati nasibu.
Yaani fedha kidogo isiyo tosha hata kununua gagulo na chupi za mkeo wanaume wazima tunabuyama kuchapwa?????
 
Wizi ndo shughuli kubwa ya kiuchumi inayowapa faida 99% ya matajiri wote Duniani.
Kujadiri wizi wa hawa wakubwa ni kutafuta mauti kwa nguvu.
Wizi unaongelewa mitaani kila siku ni wa kuiba Cheni, kuku au mbuzi kwanye shamba la kigogo.
Huu wizi anaoongelea Zitto ni wa Kiteam, team siku zote ina mashabiki.
Ukimtuhumu Captain wa team hata hupigwi na wachezaji wenza utapigwa na mashabiki ambao hata hawana economic benefit katika mgao wa team.
Wengi hapa wanadinda kiushabiki kutetea captain wa wizi wanapata nini? Mashonde ya uharibifu.
 
Aibu nkisikiaga tanzania tunachimba madini mengi lakini ndo masikini namba moja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Angalia hii jedwali ushangae mwenyewe kuwa Tanzania ni nchi ya nne kwa kuzalisha dhahabu (Kilo 51,000); lakini je inamfaidisha nani?,

[TABLE="width: 672"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]AFRICA'S TOP GOLD PRODUCERS

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]COUNTRY

[/TD]
[TD]GOLD PRODUCTION (Kilograms)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1 South Africa

[/TD]
[TD]290,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2 Ghana

[/TD]
[TD]88,600

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3 Mali

[/TD]
[TD]51,900

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4 Tanzania

[/TD]
[TD]51,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5 Guinea

[/TD]
[TD]15,300

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6 Zimbabwe

[/TD]
[TD]10,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7 Cote D Ivoire

[/TD]
[TD]8,900

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8 Ethiopia

[/TD]
[TD]5,300

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9 Sudan

[/TD]
[TD]4,400

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10 Congo DRC

[/TD]
[TD]4,200

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11 Burundi

[/TD]
[TD]3,900

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12 Mauritania

[/TD]
[TD]3,300

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13 Niger

[/TD]
[TD]3,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14 Botswana

[/TD]
[TD]3,000

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15 Burkina Faso

[/TD]
[TD]2,650

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

SOURCE: AFRICA'S TOP GOLD PRODUCERS
 
Back
Top Bottom