Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,093
- 9,261
- Thread starter
- #61
.... THINK TWICE.....when it comes to ZITTO...
... ZITTO ni mhuni & anajua wazi WAZIRI WA NISHATI NA MADINI....alimuumbua kuhusu suala la mafuta mazito ya tanesco....
...Zitto alikuwa anakula fedha nyingi mno kuanzia 800 mil per month kama gawio lake kila mwezi.... Waziri aliwaumbua na kuwataja wazi.....
.... To remind u jf members.... Mafuta mazito, serikali ilikuwa inalipa 15 bil monthly kutumika kuwashia generators.... but hata hayo mafuta yalikuwa hayatumiki....kwani ni mchezo mchafu wa kufunga maji ili KUSEMA MAJI MADOGO KWENYE DAMS THEN SERIKALI ITOE FEDHA OF WHICH WANAPIGA SIMU TU THEN WALE MAFUNDI WANAACHIA MAJI SO HATA YALE MAFUTA HAWAYATUMIII SAY ONLY SINGLE GENERATOR WANAWASHA KUHADAA PUBLIC.....
.... SO ZITTO NI MHUNI SAANA SANA....MWIZI KABISAA .... NDIO VITA ANAYOANZISHAA.....JUST KUMCHAFUA WAZIRI.....
....ZITTO NI MLA RUSHWA NA KIGEUGEU MOST OF TIME NA ANATUMIKA KUIUA CDM PIA....
....tuwe makini na Zitto ....
Haya tukubaliane ni kweli ni MUHUNI na alikula hizo 800 MIl.
Je ni kwanini hamtaki kufanya UHAKIKI wa hela zote zilizotumika kununulia mafuta, ZITTO, MNYIKA, MDEE na CHADEMA kwa ujumla wamelisema sana hili na nakumbuka CAG aifanya ukaguzi kwanini hamtaki kuleta ripoti bungeni?