Waziri alidanganya Bunge, aingia 18 za Zitto!

Waziri alidanganya Bunge, aingia 18 za Zitto!

kumbe tumeshaanza kuchimba hii makitu?

Mbona tanzania resources nyingi lakini maendeleo hakuna?

Kwanini uranium tusiwawekee next generation sisi tuendeleze kilimo kwanza?

si mmekalia kuitetea ccm kwa ujinga mliojazwa kwamba ccm ikiondoka madarakani nchi inakufa.
 
Kwenye Nyuzi kama hizi uwezi muona Lukosi!this is Tanzania Special ni aina mpya ya utalii ambao haujapata kutokea dunia kote mi nashangaa TTB wamelala.
 
Tatizo letu tunafikiri Gas na madini vitakuwepo hapa milele.

Tukishaondoka generation hii tukifika huko kaburini tutakaowaacha naona watakuja kuchoma moto na makaburi yetu.
 
hii nchi haiwezi ikabadiliaka tukiwa kwenye mwavuli wa mafisadi ccm labda wale wazee wote wapotee nje ya hapo tusitegemee mpya tutaendelea kuwa maskini hadi mwisho wa dunia
 
Hii nchi ccm wanataka kuhakikishakuwa washa uza kila kitu before wao kutoka madarakani ili wajengee mijumba yao na mi asset zao kabla hawajatoka madarakani.
 
Hapo hapo Kikwete anasema hajui kwa nini Tanzania maskini kumbe kuna walafi kawakumbatia.
 
Hii nchi hii, unaweza ukajikuta unamrushia waziri jiwe
 
Tatizo letu tunafikiri Gas na madini vitakuwepo hapa milele.

Tukishaondoka generation hii tukifika huko kaburini tutakaowaacha naona watakuja kuchoma moto na makaburi yetu.

Kuna taarifa kuwa Buzwagi wanatarajia ku-offload 200 employees kutokana na kushuka kwa uzalishaji.Tujiandae kukabidhiwa mashimo na watu wetu umri nao umepungua sababu ya machimbo.Halafu leo tunafurahia kuanza uranium kwa sifa kuwa tanzania inachimba uranium.foolish Tanzanian under cccm
 
Kama ingekuwa kwenye nchi isiyojaa Wanafique, huyu Waziri alitakiwa apigwe risasi hadharani. Si yeye peke yake, pamoja na familia yake.
Lakini wanafanya hivyo wakijua kwamba huku kuna akina Maundumla wamejaa.
 
Orrrraaaaaa chimba URANIUM iyo, tuweke vinu vya kuzalishia umeme kisha tuweke mtambo wa Nuclear tuingie kwenye 18 za USA badala ya zito!!
 
Hehehe hata mimi nimeisikia hii kitu.

Jamaa wanashadadia mafuta ya mwarabu kwanza wanajua nini wanafanya.

Ingefaa sana kama hiyo Uranium tungeichunia tu!
Nyerere alisema tusichimbe madini hadi hapo tutakapojenga uwezo wetu wenyewe; tutakapokuwa na wataalamu wetu wenyewe na uwezo wa kununua vifaa vyetu. Lakini yaone yanayotokea. Tunaruhusu madini yetu yachimbwe kwa mrahaba wa asilimia tatu? Tunaruhusu wageni wabebe makontena ya mchanga eti wanakwenda kuchambulia dhahabu kwao na sisi tunakubali? Na sasa tunawaruhusu watu wachimbe Uranium ambayo hatujui cha kufanyia?

Hivi tukiwa na reserve ya dhahabu, Tanzanite, Mafuta, Gesi, Uranium, almasi na madini mengine mengi, tunapoteza nini? Bado tuna njia nyingine mbalimbali za vyanzo vya mapato, kama vile bahari na ardhi (kilimo), lakini serikali hii vivu ya kufikiri imeacha kuwekeza kwenye kilimo inataka kufukua hazina ya taifa.

Miaka 100 ijayo watoto wetu watakuwa na nini cha kufukua? Au ni wivu wa kutaka tule vyote tuliyepo na hao wajao watajijua? Kama Nyerere angekuwa alikuwa na roho ya aina hiyo hawa viongozi wa sasa wangeyatoa wapi haya madini?

Sijui kwa kweli kama serikali huwa inalihusisha bunge katika maamuzi mazito kama haya. Na kama huwa hailihusishi bunge, huwa inatoa wapi mamlaka makubwa na yenye athari kubwa kwa taifa kama haya.
 
Siku zote nasema uelewa mdogo wa siasa kwa watz wengi ni janga la kitaifa kwani baadhi ya wanasiasa uchwara wenye ubinafsi na kutaka misifa binafsi iliyopitiliza huku wakijifanya nje wazalendo wakati ndani ni vibaraka vya mafisadi wanaendelea kutuchezesha sarakasi zao zisizo na kichwa wala miguu[shame on them].watanzania bila kujua wanashabikia upuuzi huo.lakini ukweli una tabia ya kutokubali kupuuzwa ipo siku itafahamika tu.unafiki unafiki unafiki mpaka lini naibu k.mkuu


Sema tu wazi kwamba CCM ni janga la taifa usipindishe pindishe maneno na kuongea mambo meeeeeengi go straight to the point😛eace:
 
Siku zote nasema uelewa mdogo wa siasa kwa watz wengi ni janga la kitaifa kwani baadhi ya wanasiasa uchwara wenye ubinafsi na kutaka misifa binafsi iliyopitiliza huku wakijifanya nje wazalendo wakati ndani ni vibaraka vya mafisadi wanaendelea kutuchezesha sarakasi zao zisizo na kichwa wala miguu[shame on them].watanzania bila kujua wanashabikia upuuzi huo.lakini ukweli una tabia ya kutokubali kupuuzwa ipo siku itafahamika tu.unafiki unafiki unafiki mpaka lini naibu k.mkuu

Mkuu sijakusoma vizuri, possibly hujasoma hiyo thread between line; Endapo umeisoma na kuielewa basi ni dhahiri wewe ni zaidi ya mnafiki.
Mkuu waachie wataalam wafanye kazi yao, siyo kila kitu unachanganya na siasa.
 
Ama mweli Kuishi Tanzania Kuona mengi......
 
Chris Lukosi, please njoo ukoment kwenye huu uzi...

Na kweli. Jamaa wa magonjwa saba kila jambo likisemwa na yeyote kupinga anadhani ni habari za CCM/Chadema. Hawezi kuja hapa na akija hapa unaweza kushangaa kaingiza habari za maandamano na hata Rwakatare.

He tries to the jack of all trades, at the end of the day he is the master of none!
 
Back
Top Bottom