Anaweza jamani
tumpe muda ingawa mawaziri wote waliopita walikuja na usemi huo huo
mh waziri labda nikukumbushe kitabu cha biblia kuna mtu anaitwa nuhu
huyu bana aliambiwa atengeneze safina alipomaliza akaambiwa aweke watu sahihi kwenye safina bila kumjali mjomba mama shangazi,mwisho wa siku mungu ndie alieifunga safina na sio nuhu kwa kuwa alijua angemwachia nuhu afunge angejaza mjomba shangaz mamkubwa mdogo..hili sio nakutisha ila ni hali halisi atcl inaitaji uongozi sahihi..na si kuangalia mjomba,mates,shangazi mamkubwa..akika safina itadondoka huku tumesimama..atupedni itokee hivyo na twatamani kuona atcl ikishaini uko mbele lakini kuna mambo mengi unaitaji kufanya ili kuikomboa atcl na sio tu kwa maneno..kama ni maneni basi waziri kawambwa angekuwa na air-kawambwa leo hii jinsi alivyokuwa akiiongelea atcl itakuwa hivi vile..
Una kazi kubwa na ndefu sana kuikomboa atcl na pengine itafika wakati wa kuweka rehani kazi yako mpya ili kuona atcl ikiwa inashaini nikiimaanisha aijalishi itafika muda pengine marafikizako unaitaji kuwakana kwa ajili ya atcl
POLITICS
Mh WAZIRI KUMEKUWA NA SIASA SANA SANA KWENYE SWALA LA ATCL NA KUACHA UKWELI UKIANGAMIZA SHIRIKA KAMA UKO SIRIAS NAJUANI VIGUMU SANA KUINYANYUA KWA MDOMO INAITAJI UJIKANE KWELI KWELI ILI SHIRIKA LICHAPE MWENDO
nakutakia kila la kheri kwenye shuguli mpya lakini gazeti moja la jana limenstisha sana maneno yenu nyie mawaziri wapya