DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
huyu akitoka madarakani inabidi achunguzwe ikibainika kweli, afilisiwe mali zote na wamuweke ndani kwa ujambazi wake wa kutumia cheo kujipatia mali za watanzania kwa kuiba. Huyu atakuwa hana dini, hajafundishwa maadili na mienendo ya kidini ipo namna gani
 
Mkuu KaziIendelee, hakuna kitu kibaya kama umasikini wa fikra na umasikini wa roho, kuwa na fikra za kimasikini na kuwa na roho ya kimasikini!.

Baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha lenye miiko ya uongozi, na kubadilishwa na Azimio la Zanzibar, hakuna ubaya wowote kwa kiongozi yoyote kumiliki mali na kufanya biashara yoyote ali mradi biashara hiyo isiwe na conflict of interest na uongozi wake.

Hivyo rais, VP, PM na waziri yoyote au kiongozi yoyote yuko huru kufanya biashara yoyote as direct bussiness kwa ku declare kwenye fomu ya tamko la mali zake au kufanya biashara by proxy as a silent partner kwenye biashara yoyote bila kuvunja sheria yoyote.

Na kwenye kufanya biashara huko, biashara hiyo ina uhuru wa kukopa ma B na ma B na ma B na kuagiza mali zozote hata mabasi 100, ndege, meli au biashara yoyote.

Natoa wito tusiwe masikini wa roho wenye roho za kimasikini na fikra za kimasikini, kama umeridhika na umasikini wako, ni wewe, lakini kama unapenda utajiri, pambana na hali yako, kwa kuwa na fikra za kitajiri, have brilliant business idea, mabenki yapo yanatoa mikopo ya ma B, ukishindwa kabisa kufanya biashara, then get rich any how, or die trying!.

Tusiwaonee wivu wenye nacho!.
P
Umenena vyema mkuu wa bod hi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mchaga wa rombo anaishi mabibo karibu na chuo cha NIT alioa sehemu hela iko akapewa 2 kama kianzio cha maisha yeye na mkewe sasa kadei siku zinaenda za ndio yanazidi kuongezeka(huyo esta ni jina la mwanae wa kike ambaye alikufa kifo cha kutatanisha na alipoenda kuzikaa baba yake hakuhudhuria alipiga chenga fulani ndugu wakaamua kuzika wenyewe)kilichofuata !!!!!naomba niishie hapo vya watu havisemwi
Ngoja nilinde kiapo changu
Alioa lini?
 
Mramba aliwai kufikkishwa mahakamani na serekali ya kikwete HV hv mramba akazwekwa ndani mwigulu ajitafakari sna. Mnk jamaa anaskamwa mnoo Kama kweli kaiba Ni hatari tupu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi kuwa ni bus zake uko wap
Hata kama ni yeye kwa nafasi aliyonayo hashindwi kupata mkopo kununua mbona hamshangai vijana kazin mwaka 1 ndinga ya mil 30 mtu ana sukuma sembuse waziri tena wa fedha 🙂

Anakubali kuweka wazi umiliki wake? Alipata huo utajiri kutoka chanzo gani? Maana anafahamika anatoka kwenye umasikini, na hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya muajiriwa serekalini.
 
Mkuu KaziIendelee, hakuna kitu kibaya kama umasikini wa fikra na umasikini wa roho, kuwa na fikra za kimasikini na kuwa na roho ya kimasikini!.

Baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha lenye miiko ya uongozi, na kubadilishwa na Azimio la Zanzibar, hakuna ubaya wowote kwa kiongozi yoyote kumiliki mali na kufanya biashara yoyote ali mradi biashara hiyo isiwe na conflict of interest na uongozi wake.

Hivyo rais, VP, PM na waziri yoyote au kiongozi yoyote yuko huru kufanya biashara yoyote as direct bussiness kwa ku declare kwenye fomu ya tamko la mali zake au kufanya biashara by proxy as a silent partner kwenye biashara yoyote bila kuvunja sheria yoyote.

Na kwenye kufanya biashara huko, biashara hiyo ina uhuru wa kukopa ma B na ma B na ma B na kuagiza mali zozote hata mabasi 100, ndege, meli au biashara yoyote.

Natoa wito tusiwe masikini wa roho wenye roho za kimasikini na fikra za kimasikini, kama umeridhika na umasikini wako, ni wewe, lakini kama unapenda utajiri, pambana na hali yako, kwa kuwa na fikra za kitajiri, have brilliant business idea, mabenki yapo yanatoa mikopo ya ma B, ukishindwa kabisa kufanya biashara, then get rich any how, or die trying!.

Tusiwaonee wivu wenye nacho!.
P
Naunga hoja mkono. Kama mleta mada anaona kuna tatizo la matumizi mabaya ya ofisi afate taratibu aweke huo uozo kama ni jambazi lijulikane. Kinyume na hapo ni yale yale ya kufikiri mm ni masikini sababu naibiwa na tajiri.
 
Mkuu KaziIendelee, hakuna kitu kibaya kama umasikini wa fikra na umasikini wa roho, kuwa na fikra za kimasikini na kuwa na roho ya kimasikini!.

Baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha lenye miiko ya uongozi, na kubadilishwa na Azimio la Zanzibar, hakuna ubaya wowote kwa kiongozi yoyote kumiliki mali na kufanya biashara yoyote ali mradi biashara hiyo isiwe na conflict of interest na uongozi wake.

Hivyo rais, VP, PM na waziri yoyote au kiongozi yoyote yuko huru kufanya biashara yoyote as direct bussiness kwa ku declare kwenye fomu ya tamko la mali zake au kufanya biashara by proxy as a silent partner kwenye biashara yoyote bila kuvunja sheria yoyote.

Na kwenye kufanya biashara huko, biashara hiyo ina uhuru wa kukopa ma B na ma B na ma B na kuagiza mali zozote hata mabasi 100, ndege, meli au biashara yoyote.

Natoa wito tusiwe masikini wa roho wenye roho za kimasikini na fikra za kimasikini, kama umeridhika na umasikini wako, ni wewe, lakini kama unapenda utajiri, pambana na hali yako, kwa kuwa na fikra za kitajiri, have brilliant business idea, mabenki yapo yanatoa mikopo ya ma B, ukishindwa kabisa kufanya biashara, then get rich any how, or die trying!.

Tusiwaonee wivu wenye nacho!.
P

Hakuna mwenye tatizo na hilo, lakini iweje timu ya mpira na hizo mali zinapata nguvu tu anapokuwa kwenye uwaziri? Kwanini hawi wazi kwenye umiliki wa hizo mali ili tujue asili ya huo utajiri?
 
Anakubali kuweka wazi umiliki wake? Alipata huo utajiri kutoka chanzo gani? Maana anafahamika anatoka kwenye umasikini, na hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya muajiriwa serekalini.
Kukubali si mpaka ziwe zake kweli
Hata kama ni kweli shida iko wap mtu yupo serikalini zaidi ya miaka 10 vitengo nyeti ana kopesheka shida iko wap mtaani huku watu mwaka 1 tu kazin mkopo nyumba na gari itakuwa waziri 🙂
 
Hakuna anayekataa yeye kuwa tajiri, bali aweke wazi asili ya utajiri wake, sio anapokuwa waziri timu ya kwao inang'aa, ila akipoteza uwaziri timu inayumba.
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?, huyu Waziri wa Fedha hizi pesa za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?. Kazi kwenu!.
tiss hawana huo muda. kwa sasa wapo busy kufatilia watu wanaoanzisha mijadala ya tozo.
 
Hakuna anayekataa yeye kuwa tajiri, bali aweke wazi asili ya utajiri wake, sio anapokuwa waziri timu ya kwao inang'aa, ila akipoteza uwaziri timu inayumba.
Sasa utajiri wake ataweka hapa jf mzeiyaa 😀 ukitaka kuujuwa si kuna sehemu ya kwenda kuuliza na kuna taratibu zake 🙂
 
Nyie ndio mpo kwenye lile kundi la maskini mlioaminishwa na magufuli kila tajiri ni mwizi pole mkuu,

Kuna utajiri wa aina nyingi, Kutoka kwa MUNGU, uchawi, freemason na mengineyo acheni kukariri,
Sa ingine hayo mabasi unakuta kakopa sio kwa malipo ya cash

Acha fikra mfu fanya kazi
 
Back
Top Bottom