Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

kila mmoja na dini yake na kama yeye ametoa katka injil halkadhalika nami nimetoa kwa hadithi za mtume wetu nae hasemi kwamatamanio yake ila hushushiwa wahyi, na mola wetu hasemi uongo wala atengui ahadi zake

Ok,nimekuelewa!
 
mbona povu jama!
si mjibu swali!

Hahahaaaaaaaaaaa! by nature binadamu hatutaki kukumbushwa dhambi na wengine huamini duniani hakuna dhambi na kama zipo huwa hatupendi kusikia dhambi mbaya!
 
Utaruhusiwa kufanya upendavyo ila wewe mwenyewe hutaweza kufanya chochote zaid ya kuikhofia nafsi yako kwa fadhaha ya siku hiyo

fadhaa mbele ya mgegedo?? si ndio ninakula vya mwisho mwisho kabla ya kupigwa BAN ya milele.....
 
Ni kweli kwa mujibu wa dini ya Islam dhakari au furuji za wanaume au wanawake wote uliozini nao zitakuwepo kwenywe miili yao!!
Sasa, kwa mfano, mimi, Rutashoborwa na Chimunguru tumemgegeda watu8, hiyo gegedeo ya watu8 itajibandika kwa nani? Wanawake wa siku hizi wana wanaume kibao....
 
Kheri yako wewe ulie zaliwa bila tendo la uzinzi

hapa sijibu kitu kwani Vyovyote ntakavyojibu lazima ntakutukana tu. Mhhhhhhhh kweli kuna watu dini imewapita mbali tena sanaaaaaaaaa!
 
Mimi kwenye uzinzi nitakuwa na k....... moja tu,du!kweli mahubiri hayo makali
 
Heh! Jamani! Kwani ni lazma kuzini ili upate watoto!
Heeeeeeee! Kumbe umeuona 2013, ashukuriwe Mungu kwa kutupa uzima. Hii 2013 itakuwa na maajabu mengi sana!
 
Sasa, kwa mfano, mimi, Rutashoborwa na Chimunguru tumemgegeda watu8, hiyo gegedeo ya watu8 itajibandika kwa nani? Wanawake wa siku hizi wana wanaume kibao....

Uki-reverse hiyo kauli yako ndo utajua unaloliongea ni jambo la pande mbili kaka!
 
Naomba kuuliza wakuu, kama nitaokoka na mademu zangu wakafia dhambini inamaana dushe langu litawagandia na mimi nitaingia mbinguni bila ya dushe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naomba kuuliza wakuu, kama nitaokoka na mademu zangu wakafia dhambini inamaana dushe langu litawagandia na mimi nitaingia mbinguni bila ya dushe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wao kugandia haimaanish kuwa wewe utakosa wala kama nawewe usingeokoka basi haimaanish kuwa wengine watakosa
 
Naomba kuuliza wakuu, kama nitaokoka na mademu zangu wakafia dhambini inamaana dushe langu litawagandia na mimi nitaingia mbinguni bila ya dushe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa! du kweli duania msongamano, kila mtu na anavyowaza yeye! 'Ufalme wa mbinguni sio issue ya kula na kunywa!'
 
Ila sio ushukur kuokoka na zinaa tu yapo makubwa na wala hatumudu adhabu zake kama kumshirikisha mungu, kula mali za yatima, kuua binadam asie na hatia n.k

Madam unajua Manumba yuko ICU, nduguze hawatapenda kuona ushauri kama huu wakati huu kutokana na intended killings by POLICE na kesi za kubambikiwa za walioko jela!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom