Wazee watazidi kutuhenyesha vijana

Wazee watazidi kutuhenyesha vijana

Wazee shoo yao si kubwa halafu mkwanja mrefu,wakati vijana mnasimamia shoo hata kwa kucha yaani usiku muda mwingi ni shoo halafu asubuhi mtu anaondoka na 5000 unafikiri watapenda kuwa na nyie vijana

vijana kazi tunayo, wazee wanatupiga gape kwenye pesa.
 
Kwani katika dunia hii unahitaji kuwapenda wanawake wangapi?

Je ni wanawake wote vijana wana tabia ya kupenda ngawira za wazee?
 
Kwani katika dunia hii unahitaji kuwapenda wanawake wangapi?

Je ni wanawake wote vijana wana tabia ya kupenda ngawira za wazee?

wewe una wanawake wangapi?
 
Mmehamia hata kwa sisi wanaume wenzenu?? Wazee ni hazina sio ya hekima wala nini.... hazina ya kuchunwa

nadhani hapo hujamuelewa mkuu, tatizo la jf mtu kaweka picha ya mwanamke kumbe mwanaume, jamaa akaamua kujumlisha atachagua mbele ya safari.
 
Kama hujaonja mzee hujajua mapenzi achana na wazee bana handle with care mbaya sana.
 
Back
Top Bottom