Wazee walala bweni moja Kagera

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,037
114,486
Imeripotiwa kuwa wazee wanaoishi kambi ya pamoja huko mkoani Kagera wanalala bweni moja wote wa kike na kiume.

Hali hiyo imetokea kutokana na kuezuliwa kwa bweni la kina bibi,na hivyo kukosa mahali pa kuishi.Natumia jukwaa hili kuitaka serikali itatue tatizo hili kwani wazee wetu wanadhalilika.Pia kuepuka nchi kulaaniwa
 
Dah.. nimesoma uzi mara 100 ila sijaona ona tatizo kubwa zaidi ya bweni kuezuliwa :)
 
Hili tatizo walishughulikie mapema, maana hata wao ni wazee wa kesho.
 
Hivi mbunge wa eneo hilo wa chama gani? Wazee wananajisi nchi yeye yuko busy kumkimbia Dr.Tulia, ndio maana mvua hainyeshi siku hizi kumbe tumeshalaaniwa.
 
kuna maswala mengine hata serikali mnaionea tu,sasa bweni moja kuezuliwa kweli wananchi wote wa hilo eneo wameshindwa kufanya kitu,madiwani,wenyeviti wa serikali ya mtaa,mbunge wote hawa mpaka hili swala liende kwa serikali kweli??
 
Yaani halmashauri ya cdm inashindwa kuezeka bweni moja kweli? Lowasa badala ya kusaidia kuezeka bweni la wazee wenzie anaenda kugawa sinia moja la tambi kwa watoto yatima na kuanza kupiga porojo za kukosoa bunge.
 
Dah mkuu wewe una akili sana , naomba ufipa wakuchukue
 
subirini kidogo nimpigie niwapigie hawa wafuatao then nitaleta feedback: Mengi, Manji, Dewji, Rostam Aziz, Bakheresa, Edo, Chenge, na wale wenzangu tuliomchangia yule aliyemtusi Magufuli kule Arusha
 
Yaani halmashauri ya cdm inashindwa kuezeka bweni moja kweli? Lowasa badala ya kusaidia kuezeka bweni la wazee wenzie anaenda kugawa sinia moja la tambi kwa watoto yatima na kuanza kupiga porojo za kukosoa bunge.
Kagera ni halmashauri? Mbona unapayuka?
 
Imeripotiwa kuwa wazee wanaoishi kambi ya pamoja huko mkoani Kagera wanalala bweni moja wote wa kike na kiume.

Hali hiyo imetokea kutokana na kuezuliwa kwa bweni la kina bibi,na hivyo kukosa mahali pa kuishi.Natumia jukwaa hili kuitaka serikali itatue tatizo hili kwani wazee wetu wanadhalilika.Pia kuepuka nchi kulaaniwa
Italaaniwaje? na nani? Ila Huko kagera wananchi hawawezi kuchanga pesa kurejesha hilo paa? Harusi hamsemi.
 
Imeripotiwa kuwa wazee wanaoishi kambi ya pamoja huko mkoani Kagera wanalala bweni moja wote wa kike na kiume.

Hali hiyo imetokea kutokana na kuezuliwa kwa bweni la kina bibi,na hivyo kukosa mahali pa kuishi.Natumia jukwaa hili kuitaka serikali itatue tatizo hili kwani wazee wetu wanadhalilika.Pia kuepuka nchi kulaaniwa
kwa nini hao wazee wasikatae kulala hivyo?
 
Hivi mbunge wa eneo hilo wa chama gani? Wazee wananajisi nchi yeye yuko busy kumkimbia Dr.Tulia, ndio maana mvua hainyeshi siku hizi kumbe tumeshalaaniwa.

eddy;
Hivi kazi ya kuezeka hilo paa ni ya mbunge peke yake?? Si hata weye ungelijitolea ukaezeka hilo paa mbona ungebarikiwa tu??
Acha ukilaza huo, changia hata wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom