The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,551
- 20,346
GT
Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama.
Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje