Wazee wa vyuma chakavu piteni hapa

Mechanic 97

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
501
822
Wakuu naomba kuuliza hizi bati siku hizi naona zimeandikwa Al-Zn je ni kweli sio chuma Bali ni alloy ya aluminum na zinc na pia ni bei Gani? Kwa kilo kama nikikusanya mabaki yake. Kutoka kwenye site ya ujenzi
IMG_20231015_161427_200.jpg
 
Wakuu naomba kuuliza hizi bati siku hizi naona zimeandikwa Al-Zn je ni kweli sio chuma Bali ni alloy ya aluminum na zinc na pia ni bei Gani? Kwa kilo kama nikikusanya mabaki yake. Kutoka kwenye site ya ujenziView attachment 2782984
Kama ulikuwa bado hujaanza basi hujachelewa ila wenzio walishaanza kitambo. Unaweza kuwa unapita site unanunua vipande Kwa bei ndogo halafu unaenda kupima Kwenye mzani au unaenda kuuza Kwa wale wanaotengeneza majiko ya kupikia.
 
Shukrani Mkuu na wao wananunua Kwa TShs ngapi? Kwa Kilo Kwa kunamna ulivyo waona wao.
 
Hiyo ni bati lain Haina soko labda kwa magumashi .Yan uziponde ponde na kuzikunja ziwe ngumu ! Kama una dongo au betri na nunua hata ziwe Tani zote.

Karibu.
 
Back
Top Bottom