kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Usiku kutoka mafinga kwanda makambako karibu sana kuliko mchanaKipande cha Ilula Iringa to Mbeya batabara ni nzuri ile,imenyooka halaf haina mawimbi ukijishahau unaweza maliza Dashbodi halaf bado ukaona chombo km iko spidi 20 vile,sema tu barabara iko bize Semi kibao.
