Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 253
- 770
Nimeongozana nae umbali mrefu sana nikajiuliza maswali yasio na majibu.


hakuna dereva huo. Huyo atakuwa hana experience ya muda mrefu barabarani. Alivyokaa upande huo ndio huo huo mpaka alipofika kwenye destination yake.
nyingi, yaani nikiwa na uwezo hizi tuta zote kwenye freeways nitafutilia mbali, badala yake nitajenga fixed speed cameras
