The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,445
- 20,809
Mkuu siku ukiwa na safari ya kwenda huko mwanza tu bet masaa 10, live update, kwamba hutoboiMasaa tisa inawezekana labda uamue kuwa mbishi
Mkuu siku ukiwa na safari ya kwenda huko mwanza tu bet masaa 10, live update, kwamba hutoboiMasaa tisa inawezekana labda uamue kuwa mbishi
Mkuu umeona hiyo gari kwanza, hiyo LC 300 VXR na umeisha elezwa condition ya barabara, kipi kisichowezekana kwa hayo masaa tisa sasa ? au unafikiri wote wageni roadMkuu siku ukiwa na safari ya kwenda huko mwanza tu bet masaa 10, live update, kwamba hutoboi
Mkuu umeona hiyo gari kwanza, hiyo LC 300 VXR na umeisha elezwa condition ya barabara, kipi kisichowezekana kwa hayo masaa tisa sasa ? au unafikiri wote wageni road
hamna tochi una lc300 vxr masaa 10 yote hayooNamshangaa jamaa anafikiri wote wachanga road , hiyo hata niwe na LC200 VXR ina vimulimuli ni masaa tisa tuu ndani ya mwanza..hamna tochi una lc300 vxr masaa 10 yote hayoo
Namshangaa jamaa anafikiri wote wachanga road , hiyo hata niwe na LC200 VXR ina vimulimuli ni masaa tisa tuu ndani ya mwanza..
ni hatari da Mkuu Jana nimekutana na lile dude la mzee wetu mabeyo aisee 

linatisha alafu ni vxrVXR acha kabisaa mzee, inakichafuaa hatari mzee .. wenye nazo salute kubwa sanaa.. LX300 VXR kiatu cha maana una vimulimuli ni mwendo 200 nimeshuka 170 hadi 240 nakuwa nachezea humu tuu kidogo nimeshuka 150-120 nakuwa naisaka wastani 170-200 tuni hatari da Mkuu Jana nimekutana na lile dude la mzee wetu mabeyo aisee
linatisha alafu ni vxr
Daah kinachoniua ni Ile sound aisee Kuna Moja nilikutana nayo juzi sema nikikuwa kwenye pikipik sikutamani iniache distance kubwa niendelee kuitazama na niisogelee nyuma niskie Ile sound yake anapolikanyaga akipanda bumps.VXR acha kabisaa mzee, inakichafuaa hatari mzee .. wenye nazo salute kubwa sanaa.. LX300 VXR kiatu cha maana una vimulimuli ni mwendo 200 nimeshuka 170 hadi 240 nakuwa nachezea humu tuu kidogo nimeshuka 150-120 nakuwa naisaka wastani 170-200 tu

Sasa kama mabasi yaliweza kutumia masaa mawili au mawili kasoro dar-moro V8 inashindwaje kutumia huo muda au chini yake,au na wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini basi ni zaidi ya gari ndogo huku kigezo kikiwa mzunguko wa tairi!Dar sehem gani? Asijekuwa alihesabia kibaha ni dar... Hizi claims hizi ngumu kuziprove unless umefanya mwenyewe

Juu kiasi gani mkuu? Hizi crossover suv zote ingeumiaPole kaka, ungekuwa na gari ya juu bumper lisingeumia
Umenikumbusha mbali...nimecheka..Sasa kama mabasi yaliweza kutumia masaa mawili au mawili kasoro dar-moro V8 inashindwaje kutumia huo muda au chini yake,au na wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini basi ni zaidi ya gari ndogo huku kigezo kikiwa mzunguko wa tairi!![]()







Wenye tabia za kushabikia mada kama hii mkuu ni mafundi gereji wao kitest na wakishapigiana stori za vijiweni wanakubali Kuna jamaa yangu huku kisa alipitiaga gereji siku Moja ananiambia scania inatembea kuliko Land cruiser V8 kwa jina maarufu sikutaka kumbishia maana ningetwanga majiUmenikumbusha mbali...nimecheka..
Kuna mafala walikuwa wanabishana...mmoja anasema gari ndogo ikiwa speed 100 ni sawa na basi liwe spidi 60 au 70 eti kisa basi lina tairi kubwa...
Wakaeleweshwa kuhusu gear ratios, kwani wanaelewa..?,![]()

Huu ubishi niliukuta pale Udsm madereva wanabisha nikaingilia lkn wapii mwisho nikawaambia hata pikipiki ikiwa spidi 100 na gari itakuwa hivyo hivyo wakabishaUmenikumbusha mbali...nimecheka..
Kuna mafala walikuwa wanabishana...mmoja anasema gari ndogo ikiwa speed 100 ni sawa na basi liwe spidi 60 au 70 eti kisa basi lina tairi kubwa...
Wakaeleweshwa kuhusu gear ratios, kwani wanaelewa..?,![]()
ikabidi tuchukue pikipiki na land kruza tukapima wakapata jibu na ubishi ukaisha..Songea napo zipo sana, kesho ntaweka picha nikifikaMoshi Jacaranda zipo pia, ukitoka YMCA ukashika njia barabara ya Shanty Town hii ya CCP inayopitiliza mpaka Junction ya hapa karibu na Uhuru Hostel ipo mingi tu. Pia around Shanty Town humo kwenye mitaa kadhaa ipo. Arusha pia in some places ipo, na hii ndio miezi yake ya kuchanua
Umenikumbusha mbali...nimecheka..
Kuna mafala walikuwa wanabishana...mmoja anasema gari ndogo ikiwa speed 100 ni sawa na basi liwe spidi 60 au 70 eti kisa basi lina tairi kubwa...
Wakaeleweshwa kuhusu gear ratios, kwani wanaelewa..?,![]()


unatamani uwapige vibao yaaniHivi hakuna barabara inayopita gari hata ya vumbi itokee matema kyela kupitia mwambao wa ziwa nyasa?View attachment 2394903
Kutokea Ludewa chuma imekata Luilo, Manda,
View attachment 2394905then ikambaa pembezoni mwa ziwa mpaka ikaibuka Nyasa.
View attachment 2394903
Kutokea Ludewa chuma imekata Luilo, Manda,
View attachment 2394905then ikambaa pembezoni mwa ziwa mpaka ikaibuka Nyasa.
Hakuna mkuu.....Hivi hakuna barabara inayopita gari hata ya vumbi itokee matema kyela kupitia mwambao wa ziwa nyasa?