Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,618
Yeah kuna namna aidha crown ni nzito zaidi kuliko Mark X ndio ina affect ulajiUpo sahihi mkuu, kuna mshikaji wangu pia ana 3gr kwenye crown yake huwa gauge Yale ya mafuta I inashuka haraka kuliko yangu
, congo, zambia malawi au Zimbabwe
, elewa hayajasajiliwa rasmi hapa,means international Transit (IT)ndio yanatambulishwa hivyo, madereva wake wengi ni wazoefu wa njia maana wanasafiri almost kila siku, yaani mtu anakamata T1,saa 0500am yupo Tunduma anaacha gari pale border, analamba Sauli back to Dar ili akamate IT nyingine, safari nyingi salama means more money, nadhani ni 100usd kwa gari