ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,613
Wabongo hawakosi SOLUTION
Hapa ni checkpoint ya traffic, askari anasimamisha magari na kuna raia anaonekana anashikana mikono na konda wa kila basi linalopita. Nadhani wanasalimiana kupeana heri ya safari