Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Unanikaribishaje kienyeji hivi sasa...Karibu sana 🙂 🙂
Ahasante RR....Kwa niaba ya wanachama wote wa JF Road trip group naomba nichukue nafasi hii kukukaribisha rasmi chamani, humu ni road trips tu haijalishi umetumia Vits au VX-R kama Hadde muhimu ni updates zako za road trip tu. Karibu sana.
Imepita hiyo, lipo kwenye mchakato jambo hili 🙂 🙂 🙂
Na seat Cover unibadilishie...Nimechoka aibu.
Check na Maboss hao...Ijumaa/Jumamosi jioni mnipeleke 25...
Waiting!!!!!!Imepita hiyo, lipo kwenye mchakato jambo hili 🙂 🙂 🙂
Mimi na VX-R wapi na wapiKwa niaba ya wanachama wote wa JF Road trip group naomba nichukue nafasi hii kukukaribisha rasmi chamani, humu ni road trips tu haijalishi umetumia Vits au VX-R kama Hadde muhimu ni updates zako za road trip tu. Karibu sana.


Inaonekana unalipenda sana hilo chimbo
Na seat Cover unibadilishie...Nimechoka aibu.
Check na Maboss hao...Ijumaa/Jumamosi jioni mnipeleke 25...


Ahsante jamani...
Kwa kishuaInaonekana unalipenda sana hilo chimbo
Hebu tutafute siku twende asee
Walau kuosha Macho tu![]()

Tutakupitia...jiandaeMsiniache....
