Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna raha Kweli ila ajali za kizembe sana yaani unakuta kila mwezi ajali za mabasi yanauwa watu kibao
Sheria hazifuatwi kabisa
Raha labda hali ya hewa na chakula ila usafiri hapana

Gari matairi yameisha kabisa traffic anakukamata unampa hela anakuachia na wewe unajiona mjanja kumbe unaenda kufa

Sorry labda nimekurupuka Hebu niambie hiyo raha
Raha ni kuwa unaweza futa 26O kph
 
Hahaha labda niende German kwenye Autobahn na Porsche
Back then M4 between junction 3-7 kulikuwa hakuna camera sijui sasa hivi, tulikuwa tunapiga sana 120-130mph. M23 kuelekea Brighton, M3 kuelekea Southampton kuna vipande havina camera usiku unajiachia tu, shida M40 na nyinginezo kuelekea North
 
Siku hizi kila mahali wameweka camera sio kwa sababu ya ajali Hapana bali kutukamua tu na faini ziada usipolipa kwa wakati

Kila kitu kimebadilika na speed 20mph mijini jambo la kawaida na faini juu ukipita hata 25

Motorways zimekuwa smart motorways speed zinabadilika kwa flow ya magari kama ni traffic sana unaona speed zimebadilika kutoka 70 mpaka 50 au 40 sasa jichanganye hapo

M40 ndio bado kuwa smart na camera Hakuna ila kuna cop wanazunguka na magari ya kawaida
Licence kwangu ni muhimu sana Mkuu I don’t mess with the law
 
Kuhusu mafuta usijari mkuu
FB_IMG_7438791338119274294.jpg
 
Back
Top Bottom