Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_4489.jpg
 
Na yule jamaa aliekugonga alikulipa au ni bima imelipa? Au umetoa mfukoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimsamehe on the spot pale polisi, sikutaka niandikishane naye asinilipe ajione mjanja. Nikamwambia okoa muda wangu, tusilale polisi mpaka Jumatatu, beba bumper zangu nifuate mpaka Dar unifikishie nyumbani then you will be free to go.

Leseni yake ilibaki pale polisi, anajua mwenyewe alivyoitoa. Najitahidi kukwepa sana kudeal na hawa jamaa, ukishawakabidhi funguo wa gari ni salia mtume tu.
 
Back
Top Bottom