Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Watu wana madharau huko mabarabarani
Palikuwa na mtu kapack ractis service road nyembamba ile anashuka kuna vanguard ikawa inaingia, sehemu ndogo ikabidi aingie kwa kujibana sana.
Driver wa vanguard karopoka “ wewe gari yenyewe mbaya na bado unaipack vibaya
Nimecheka kwa masikitiko

Nb. Wenye ndinga kali na nzuri nzuri jamani msitunyanyapae wengine
View attachment 2138595
Vanguard anamchekaje mwenye Ractis?
 
kwani uongo? Akati ni kweli lol
 
Kesho na bet

Nikipata b 5.5

Nakununulia

Gari ya ndoto yako

Toto zuri uachwe kusimangwa

Pole lakini mwaisa
 
IMG_20220304_115626.jpg
 
Back
Top Bottom