miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,053
Hahaha kuna mtu alicomment akasema akiziba mlango wanafungua madirisha akiziba madirisha wanatoboa dari sijui ni nani. Aisee nilicheka tena ni humu humu.


na mwisho wa siku atakuta watu wamechimba chini kwa chini mpaka wametokea hukohuko handaki kuu
