Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Aisee maumivu ya huyo mama dah poleni sanaWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Aisee maumivu ya huyo mama dah poleni sanaWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Daaah ukifika Moshi hata muda wa kushika simu hakuna. Hugo's hapa now nakula mbuzi kitunguu..Wapi sasa hivi?
Aiseee Pole sana RR.. Mungu akawe mfariji kwako na familia yakoWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.

Pole sana mkuu...Mungu akufanyie wepesi...Mungu ni mwema...Wakuu nashukuru sana kwa kunifariji kipindi hiki kigumu. Asanteni sana maisha yanaendelea.


Fika salama mkuu..On my way to Arusha
View attachment 2063638
Pole sana mkuuWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
usijali mwamba,Mungu yunasiWakuu nashukuru sana kwa kunifariji kipindi hiki kigumu. Asanteni sana maisha yanaendelea.
Mwenyezi Mungu awape faraja na uvumilivu kwa kupotelewa na mtoto mkuu..Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Nimetama kumuona karma
Natumai utafurahiaNilifika salama,nimepumzika sasa nataka kwenda viwanja nikaukaribishe mwaka
Dah!Pole zangu za moyoni kabisa RR.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Punguza ukorofiNimetama kumuona karma
