Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Ok, natumai nitapishana nayo siku moja.Hahaa yake ni 350XV
Kwamba![]()
Mida kama hii tukijaliwa nitapita hapo kesho. Kwa leo wacha nivuje jasho kwanza.
Poa Mkuu, muda nakiamshaMida kama hii tukijaliwa nitapita hapo kesho. Kwa leo wacha nivuje jasho kwanza.
Jamani jamani mbona mie nipo siku zoteNikikutafuta huku, unatokea kule...![]()


Jamani jamani mbona mie nipo siku zote![]()
Unakula sana chambo na kutema ndoano😂😂Jamani jamani mbona mie nipo siku zote![]()
This time ukipata muda niambie na ndiyo maana nilikutafutaOkay okay...![]()


Haha huyu sijala chambo anadai nampiga chenga eti jamani


This time ukipata muda niambie na ndiyo maana nilikutafuta![]()






Naupa mwili shukrani, hebu tulia![]()





nimecheka sana wii, haya bhana. 


