Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mie nipo kazini siku zote tu mwaya sina ratiba maalum. Si unajua tena kazi zetu hizi ambazo hazina weekends wala holidays.

Yaani kuwa off hakutegemei weekend wala holiday. Kwamba siku yoyote tu ukijikuta huna kazi kabisa ndiyo inakuwa off yako hiyo.
Duuuuh hongeren kwa kweli, kazi ambayo hata uamshwe SAA 8 usku, lazima chap uwe kazin duuuh.
Mna moyo saan, na muwe hivyo tyuuh, ila baadh yenu wanatesa San wanaoenda kwa mujibu.
 
Bavaria Holy Man
Screenshot_20211112-165019.png
Screenshot_20211112-165247.png

BMW imefukuza mpaka imechoka RS6 haikuti
 
Back
Top Bottom