Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

This is daslam
Nimepanda mwendokasi yaani mtu kaninyanyulia kwapa lake lote usoni ,limeloa jasho na linanuka
Hivi daslam inawezekana kuvaa nguo mara nyingi bila kufua??
Aisee kuna watu wana vikwapa vikali mno

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sisy. Humo sio vikwapa pekee. Humo na shuzi ni za mwendokasi nonstop. Mpaka unashuka kituo chako, marashi yako yote yeshakuwa compromised. 😎

Asalamaleko Mzizima.
Asalamaleko DarSlum jiji la wavuja jasho.

Mkuu Holy Man , hebu tufanye kaharambee ili huyu mtakatifu mwenzio apate japo Passo avimbe nayo road. Dada yangu mzuri Anne doesn't deserve such damn miserable transport ya mwendokasi.

Queen Karma , what's up .

-Kaveli-
 
Pole sisy. Humo sio vikwapa pekee. Humo na shuzi ni za mwendokasi nonstop. Mpaka unashuka kituo chako, marashi yako yote yeshakuwa compromised.

Asalamaleko Mzizima.
Asalamaleko DarSlum jiji la wavuja jasho.

Mkuu Holy Man , hebu tufanye kaharambee ili huyu mtakatifu mwenzio apate japo Passo avimbe nayo road. Dada yangu mzuri Anne doesn't deserve such damn miserable transport ya mwendokasi.

Queen Karma , what's up .

-Kaveli-
Imagine nimesimama tangu kivukoni hadi Mbezi,nanusa kwapa la mtu
Akiyanani,gari ikisimama ndio kabisa nahisi kuzimiajotooo..mrundamano wa harufu humo ndani,halafu mtu ameinua tu kwapaa lake linalonuka uvundo wa jasho na halishushi

Dah Jamani hivi Hawa watu,huwa hawana hata girlfriends wa kuwanunulia tu deodorant na perfume angalau wanukie?
Asalamalekuu,walekumsalam dasalam jiji lenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakoo ipi? Maana juzi mapema sana nilipishana na jopo la wajuba walioshika virungu kama tupo ukanda wa Gaza!
Kariakoo hiyohiyo.

Hivi umepita kule narung'ombe??
Kutokea tu pale polisi msimbazi kwenda sokoni shimoni,ile barabara imejaa watu kama Kawaida.

Kuna waliohamishwa kwani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom