Wapi hii?Barabara ina kona hii... Kama msanifu alikuwa anashindania tuzo ya mhandisi aliyesanifu barabara yenye kona nyingi....
View attachment 1997257
View attachment 1997265
View attachment 1997266
View attachment 1997268
View attachment 1997269
Acha maskhara RR!! Ina maana we jua ulioni?Hivi jua ni kali eeeh?!! Mbona AC bado natumia LOW
Hivi hiyo hamishahamisha inachagua maeneo eeh?Nyie lazma muondoke mlijazana sana road reserve za mjinisahizi biashara ni fremu sio kupanga majamvi barabarani ama vimeza
![]()






Jua siyo Kali ila jotoHivi jua ni kali eeeh?!! Mbona AC bado natumia LOW

Atalionea wapi anashinda Kwenye gari lake.Acha maskhara RR!! Ina maana we jua ulioni?
La kupewa halinogi.Wazee tuwahurumie warembo jamani wenye hela muwape hata passo tu jamani!Jua ni kali sana hapa mjini
Hivi hiyo hamishahamisha inachagua maeneo eeh?
Nimepita kariakoo naona machinga wamejaa kama kawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hahah!
Yaani haya maisha.
Mimi najichanga wee ila hadi Sasa nimefikisha hela ya kununua baiskeli tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punda haendi bila vibokoHivi hiyo hamishahamisha inachagua maeneo eeh?
Nimepita kariakoo naona machinga wamejaa kama kawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huko msimbazi,narung'ombe sijui shimoni naona kupo vilevile tu.Uepita servise rod za msimbazi?
Mimi nasubiri kuona wanavyotoa hilo nyomi la chinga wa kariakooPunda haendi bila viboko
Maisha ni safari ndefuJamani hahah!


,limeloa jasho na linanuka

Yaniii!!! Ila ipo siku yatakuwa sawa!!