Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mimi nikifikiria zoezi la kuosha vyomboHahaaa haki ya nani tena
Yani bora nipike hata masaa manne ila mwisho wa siku nimalize vyombo vyote vikiwa visafi
Siwezi kuishi na mtu anayerundika vyombo na vile huwa sipendi kujipikilisha kila siku ndiyo kabisa

Natamani niishi tu mwenyewe siku zote..huo uwife material ushanipita pembeni.


