Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Extrovert & RRONDO

Ningewaelezea baadhi ya characteristics zangu sema nitajianika tu sasa

I am always sincere when it comes to explaining my personality ila tu siyo kwa kila mtu

Ila aminini tu kwamba mie siko decent wala siyo wife material kabisa kama mnavyosema

Kwa sifa zangu sifai kabisa kuwa mke wa mtu na huko kwenye ndoa tutaenda kutesana tu
Duh
 
3D7F1F30-66FC-4ECD-93D2-985F48F89B74.jpeg
 
Extrovert & RRONDO

Ningewaelezea baadhi ya characteristics zangu sema nitajianika tu sasa

I am always sincere when it comes to explaining my personality ila tu siyo kwa kila mtu

Ila aminini tu kwamba mie siko decent wala siyo wife material kabisa kama mnavyosema

Kwa sifa zangu sifai kabisa kuwa mke wa mtu na huko kwenye ndoa tutaenda kutesana tu

Wazee wa kuosha kila chombo jikoni
Tunamalizia kupika ,vyombo vyote visafi.
Sijui hata nimekumbuka Nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau ile siku tunapiga stori,
Ukiwa mwenyewe,unamaliza kupika vyombo vyote visafi.. tukawa tunasapotiana.
Imagine unaanza maisha mtoto wa mtu anakula anakurundikia vyombo,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa haki ya nani tena

Yani bora nipike hata masaa manne ila mwisho wa siku nimalize vyombo vyote vikiwa visafi

Siwezi kuishi na mtu anayerundika vyombo na vile huwa sipendi kujipikilisha kila siku ndiyo kabisa
 
Back
Top Bottom