ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,134
- 17,603
Labda na mimi siku nitakuja kutamka maneno haya [emoji23][emoji23][emoji23]Vijana mnayaweza mambo yenu.
Mi starehe za kelele sizitaki.
House party ndo nazifanya sana.
Nachoma nyama, nanunua drinks za kutosha, naita washkaji kama 5 mpaka 10.
Tunakula na kunywa, kama kuna match au movies tunaangalia wote. Ikifika saa 2 usiku kila mtu kwake.
Haya ya vidimbwi nadhani yalishanishindaga kitambo sana.