Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,525
- 5,751
kitimoto kwa singida nilikuwa napenda kupigia kule masai kuna ka pub sijui kanaitwa vila jamaa wanajitahidi sana kuitengeza kiufundi.. alafu mbuzi utaho mnadani tunashusha mbuzi mnachoma mnakula hadi mnachoka na miedomo yenu

ntakupeleka na kwa tall pale NBC

