Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mambo ya jmos mnada wa kititimo
IMG_20210706_162301.jpg
 
Unaweza kupatwa na wazimu utakapokiona cha kumalizia wakati cha kuanzia hukukiona na huku upo kwenye cruising speed ya140kmph
Hayo mambo ya Msata ~ Segera, muhimu sana kucheza na kibao cha upande wa pili pia. Ukiona upande wa pili kuna kibao cha duara af kwako kushoto hakipo tupia jicho, unakuta mwenzio ndio anaruhusiwa kuamsha sasa 50 imeisha wakati kwako hola he he he akili kumkichwa ukikaza fuvu umeliwa kichwa
 
Back
Top Bottom