Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Safi kabisa 🙂🙂🙂
Jumamosi ndani ya nyumba hapo tena
Safi kabisa 🙂🙂🙂
Kunywa na kuendesha sio nzuri sana, shauri mzee.. akita endesha alale hadi tone la mwisho la usingizi..Teh mzee wangu anakuambia akiwa anadrive dawa ya usingizi kwake ni k vant tu plus muziki sauti kubwa mixer ac hadi mwisho yani hasinzii kabisa hadi mwisho wa safari
Haya kasinde 😀😀😀wakati mwingine unatia adabu watuEnjoy your trips HM, as a long as you can control the car you are driving.
Hakuna Matata na Kasie Matata.
🥂🥂.
Siku moja inabidi itokee bahati wazee wa babarani tukutane hapo, ingawa mie jumamosi nitakuwa na familia yangu hapo hadi jumatatu.. code ukiona Crown DNS ujue nipo tu nachapa kahawa...
Inawezekana kabisa.Niliwatembeza watu Mombo-Himo chini ya masaa mawili ikawa topic karibu mwezi mzima. Mimi nilikuwa naenda mwendo wangu tu ilikuwa usiku saa sita na....kumbe jamaa wanaangalia muda kufika wanasema na udereva wao wote na uzoefu wa kwenda mbio hawajawahi kukata hicho kipande chini ya 2hrs. Nilikuwa na VW katikati hapo nilikutana na Mark X kabla ya Same akataka ligi nikamnyoosha na 180kph akapotea,akanikuta mbele ya Same nimesimamishwa kwenye barrier akapita,nikatoka hapo nikamtafuta nikamla baada ya dakika kama kumi hivi.
Haya kasinde 😀😀😀wakati mwingine unatia adabu watu
Kwenye Kona Tena unaovertake!!!! Kweli mizuka ikipanda hata nguo mtu anavua 😀😀😀2017 Prado na LC100 V8
Hawa ilikuwa mchana tu kipande cha bagamoyo msata kilometa kadhaa kabla ya Msata. Hawa walinikuta kwenye matuta na malizia wakanila wote wawili wanafukuzana. Abiria wangu wakasema 'wanaume hao' duh nikasema kimoyomoyo 'hiiiiiiii' kwa sauti ya RIP Magu.
Nikaanza kutafuta mwizi kimya kimya, dakika kama 5 hivi hawa hapa wanatoana jasho, kuna kona fulani ya kulala nayo wanasikilizia, niliwala wote wawili na 170kph wakanikuta Msata pale kulia tunakunywa maji kipanya changu kinaunguruma!
Ila mkuu mimi napenda ligi sanaa wiki tatu zilizopita natoka kahama nakuja dom ikatokea D4D ikanipita kwa mwendo wa roket nikajisemea huyu lazima nile nae sahani moja nikaanza kumtafuta hapo nipo na primio F fukuza sana mara huyu hapa nipo 170 kph nikampita akaanza yeye kunitafuta sasa hapo nisaa mbili usiku nilitembea mpk nikamaliza sahani jamaa nampoteza mdogo mdogo mpk nafika singida naongeza wese ndio kanipita.2017 Prado na LC100 V8
Hawa ilikuwa mchana tu kipande cha bagamoyo msata kilometa kadhaa kabla ya Msata. Hawa walinikuta kwenye matuta na malizia wakanila wote wawili wanafukuzana. Abiria wangu wakasema 'wanaume hao' duh nikasema kimoyomoyo 'hiiiiiiii' kwa sauti ya RIP Magu.
Nikaanza kutafuta mwizi kimya kimya, dakika kama 5 hivi hawa hapa wanatoana jasho, kuna kona fulani ya kulala nayo wanasikilizia, niliwala wote wawili na 170kph wakanikuta Msata pale kulia tunakunywa maji kipanya changu kinaunguruma!
Hii unakuwa na ule mfuko kabisa kwenye gariHii ni nzuri zaidi ya Energy Drink na inaupa mwili nguvu. Kama mtu anafanya kazi ya kutumia akili na nguvu asubuhi ukipiga zile punje 2 au 3 za tende husikii uchovu.
Ah ye mwenzetu kashazoea kuchelewa kulala na kuwahi kuamkaKunywa na kuendesha sio nzuri sana, shauri mzee.. akita endesha alale hadi tone la mwisho la usingizi..
Halafu kweli aiseeSiku moja inabidi itokee bahati wazee wa babarani tukutane hapo, ingawa mie jumamosi nitakuwa na familia yangu hapo hadi jumatatu.. code ukiona Crown DNS ujue nipo tu nachapa kahawa...
View attachment 1861525
Vizuri kula bata na familia 😀😀😀.. hapo mnadumisha chama kabisaHalafu kweli aisee
Kila la heri
Wasalimie sana familia
Propero y anyo felicidad
Eti dakika mbili niko takoni
Ligi raha sana

Propero y anyo felicidad