Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivyo vitanichafulia gari, nitakulipa fidia.

Aaahahahahahhahahahahahaaaa unafikiri nna tabu basii...!

Fidia isiwe pungufu ya hapa kwenye picha bebe Bataringaya. 😋

B1744138-A3A5-4A25-8D6D-8543439EEBA7.jpeg
 
Wuuuhuuuuuuu njooo fastaaaa.

Ila ujue wewe ndo utakuwa time keeper ukiacha mimi niwe time keeper, yaani niamue tutakaa huko hadi lini na siku gani ndo ya kuteremka kuelekea kaskazini ya mbali..... jiandae mwaka mpya utatukuta hukohuko Germany Air 😜.
Ratiba yangu inaniambia mwaka mpya ni huko kwenye upepo wa Mjerumani
 
Ratiba yangu inaniambia mwaka mpya ni huko kwenye upepo wa Mjerumani

Aaahahahahahahahaaaaa weeeeuweeeeeeeeeee

Utafanya watu wakifika njia panda Mombo wakate kulia kuchungulia Bataringaya na Kasie kunani 😂😂😂😂😂

95DDB265-3861-4AC5-B504-7AD7D67ED397.jpeg


Nimejikoki hatariii 😜😜
Sipotezi pointi hata moja ahahahahahaa

BD85F4CB-0120-4D0F-A7C7-EF16971887E7.jpeg


Vitendea kazi vyote vipo kamili na kuzidi, kazi kwako...🤣🤣🤣🤣🤣

K’ Matata.
 
Back
Top Bottom