Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kunywa ni tamu zile
Zinaondoa mawazo zile




Tatizo wewe mwenyewe hujawahi kunywa .
Ukute zinapunguza mawazo ila mimi na wewe hatuelewi kwa sababu wote hatujawahi kunywa


.Cha kufanya kesho ukuje na St Anna tujaribu tuone inakuwaje,
Ikipunguza mawazo naendelea kunywa,isipopunguza nafwata ushauri wako.





