Muombe Mungu akuepushe na kikombe Cha ulemavu.
Mungu mwenyewe anajua namna ya kumnyoosha mtu anayemtendea mabaya mwenza wake.
Yaani ukiwa fair kwa mtu halafu yeye anakukosea akitegemea tu asamehewe basi jua Mungu atamnyoosha tu.
Mungu ni wa haki sana,hawezi acha uteseke bure.

Ndoa ni kwa ajili ya watu wote japo siyo lazima ila ni muhimu.
Naona unayaongea haya pia kwa sababu ya umri

bado mdogo.
Kumbe daraja lina foleni!,kwani hairuhisiwi sisi watembea kwa mguu tukatembea tu kwa mguu??
Basi kigamboni nitaendelea kuiona kwenye TV.
Yaani unatamani kivuko kijizungushe tu ili mradi Safari iwe ndefu!?!!!tena kwenye maji

!
Mimi safari ikishaanza kuwa ndefu najihisi naugua njiani.
Juzi Kati hapa gari niliyokuja nayo ilikuwa inatembea utadhani daladala ya skuu-uyole..,nikajisemea moyoni yaani hapa hadi ichanganye ifike basi cha moto nitakuwa nimekiona.