Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Rwanda
FB_IMG_1600490860036.jpg
20200602_181854.jpg
 
I love long drives!
Ukiwa njiani kurudi, pandisha Lushoto. 60 Kms kutoka Lushoto town kuna kijiji kinaitwa Mambo. Hali ya hewa ni njema Sana, highest point na unaona pare and sambaa land around you. Network ya simu ni ya shida na hakuna TV. Ukikaa siku 2 tu utarudisha nyuma umri wako kwa miaka 10.

Enjoy your trip mazee
Hapo kwa highest point Lushoto nimekumbuka Irente Lodge
 
Back
Top Bottom