Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,491
Ilikuwa msala, mama alinicheka sana na kidumu changu, uzuri ilikuwa saa 1 jioni giza tayari so ikawa afadhali 😂😂😂 ingekuwa mchana sijui hata ningeficha wapi sura yangu.Hiyo inaitwa time me before i time you 😁 😁 😁 .