East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,066
Uzuri wa gari isichokonolewa chokonolewa ( modification ).. kama unataka yenye 340 ni vyema ukajipanga ukachukua tu 😀😀😀. Gari zote tunazo hitaji zipo . Shida ni shekeli tuWale wanaofanya engine calibrate na tunings sio kwamba wanaongeza hizo kph ?


