Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,222
Kuna moja kama mnazunguka kimlima hivi 😀 dah!Kuna kale ka kipande ka kutoka babati unaitafta kondoa...
Long way back nilipitaga asubuhi na kulikua na ukungu dah....
Best moment ever...
Na slow songs zangu
Na vile vikonakona mpaka unajiskia upo duniani😂


