Wazee wa Mtama washindwa kuzuia hisia zao kwa Rais Magufuli

Tuliza mzuka maana ndiyo kwanza ni February bado tuna miezi kibao.

Sisi wana ccm woote Membe ndiye chaguo letu
Membe wakati anataka kwenda kugombea alikwenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere, akasema amepata baraka zote.

Ila kwa sasa sijamuona akienda huko butiama.

In God we Trust
 
Twaweza hawakudanganya mkuu
Unafahamu kiswahili vizuri wewe?unashindwa kutofautisha kiti na kitu.Ile dhana kwamba,"Vijana wengi wa Lumumba ni form 4 failures",nimeanza kuielewa!

In God we Trust
 
Umeishawahi kusikia wazee wa masaki, mikocheni, oysterbay, Area D,Uzunguni, dodoma, Wakifanya kitu kama hiki,?vitu hivi hufanywa na raia maskini, wenye vipato vidogo, ambao familia nzima unaweza ukakosa hata mtu mmoja mwenye shahada, matajiri hawana huu upuuzi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kusini yaani Chadema imepukutika kabisa .
Lini kusini imewahi kuwa ngome ya chadema. Ngome ya chadema ni wale wanaojielewa huwezi kuwalinganisha na watu wa Lindi. Unafikiri KILIMANJARO ndiyo Magufuli angechukua kahawa bila kuwalipa cdhani kama Magufuli angekuwa bado yupo hapo alipo
 
Lini kusini imewahi kuwa ngome ya chadema. Ngome ya chadema ni wale wanaojielewa huwezi kuwalinganisha na watu wa Lindi. Unafikiri KILIMANJARO ndiyo Magufuli angechukua kahawa bila kuwalipa cdhani kama Magufuli angekuwa bado yupo hapo alipo
Mimi nazungumzia kusini wewe unaanza oh Kilimanjaro, oh kahawa sijui nini; mbona hueleweki?
 
Nape asiwasingizie wazee na njaa zake,wazee wa Lindi wakikumbuka mambo ya korosho na kupigiwa shangazi zao na hali ngumu ya maisha hakuna mzee mwenye akili zake timamu anayeweza akawa na mawazo ya kumchangia musababishaji wa mambo yote.
 
Back
Top Bottom