Wazee wa Mtama washindwa kuzuia hisia zao kwa Rais Magufuli

Pohamba, Membe wakati anataka kwenda kugombea alikwenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere, akasema amepata baraka zote.

Ila kwa sasa sijamuona akienda huko butiama.
 
Egnecious,
2315453_20200222_135459.jpeg
2315453_20200222_135459.jpeg
 
Kwa hiyo wewe unajua membe ni kitu. Ulikikalia siku moja au?
Unafahamu kiswahili vizuri wewe?unashindwa kutofautisha kiti na kitu.Ile dhana kwamba,"Vijana wengi wa Lumumba ni form 4 failures",nimeanza kuielewa!
 
Back
Top Bottom