Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,482 Aug 15, 2015 #2 hivi unajua mchina ni kiumbe ------ sana! anaweza kufanya mambo ya ajabu kabisa. sasa hii sifa sasa dah.
hivi unajua mchina ni kiumbe ------ sana! anaweza kufanya mambo ya ajabu kabisa. sasa hii sifa sasa dah.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,627 Aug 15, 2015 Thread starter #3 Hute said: hivi unajua mchina ni kiumbe ------ sana! anaweza kufanya mambo ya ajabu kabisa. sasa hii sifa sasa dah. Click to expand... Hizi zikija dar watu wa bajaj itakula kwao.
Hute said: hivi unajua mchina ni kiumbe ------ sana! anaweza kufanya mambo ya ajabu kabisa. sasa hii sifa sasa dah. Click to expand... Hizi zikija dar watu wa bajaj itakula kwao.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,545 Reaction score 35,406 Aug 15, 2015 #5 mmmmh mshikaki wa hapo duuuh
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,227 Aug 15, 2015 #6 Mmmhh itakiwa full kukumbatiana hapo sasa mdada ukute umekaa katikati ya wanaume looh. Ila haita kuwa rahisi kuchomekea maana ndefuu kaa nanihii...
Mmmhh itakiwa full kukumbatiana hapo sasa mdada ukute umekaa katikati ya wanaume looh. Ila haita kuwa rahisi kuchomekea maana ndefuu kaa nanihii...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 373,352 Reaction score 864,995 Aug 15, 2015 #7 Bavaria said: View attachment 276391 Click to expand... Hahhahaaaaa inaitwa LANBEI CC: Watu8 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Aug 15, 2015 #8 Hapo sawa
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,627 Aug 15, 2015 Thread starter #9 Kasinde said: Mmmhh itakiwa full kukumbatiana hapo sasa mdada ukute umekaa katikati ya wanaume looh. Ila haita kuwa rahisi kuchomekea maana ndefuu kaa nanihii... Click to expand... Punguza mawazo hasi.
Kasinde said: Mmmhh itakiwa full kukumbatiana hapo sasa mdada ukute umekaa katikati ya wanaume looh. Ila haita kuwa rahisi kuchomekea maana ndefuu kaa nanihii... Click to expand... Punguza mawazo hasi.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 18, 2015 #10 Hii inamfaa Watu8 lol Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
awardh Member Joined Jul 30, 2015 Posts 12 Reaction score 3 Aug 18, 2015 #11 Iyo ikiletwa bongo watatuuwa
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 18, 2015 #12 awardh said: Iyo ikiletwa bongo watatuuwa Click to expand... Hahahaha nimejiskia kucheka
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,418 Reaction score 82,375 Aug 18, 2015 #13 Mimi nikadhani mishikaki ya nyama...Aaarrggg
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,765 Reaction score 2,072 Aug 18, 2015 #14 Hahahaha naona kuubalance wakati wa kuendesha ni kazi sana na pia hautakuwa na speed kubwa.