Wazee wa Likes nawaomba humu, Likes zinahitajika nishinde shindano la ujasiriamali

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
habari wadau wa chit chat..

naukumbuka uzi wetu wa kupeana likes.. sasa naombeni msaada wenu..

kuna shindano nimeshiriki la ujasiriamali linaitwa total start upper of the year.. katika harakati za kusaka ugali..

sasa limefikia stage ya likes zinaongeza marks.. nikawakumbuka ndugu zangu wa kupeana likes,,, naombeni msaada wenu


MAELEZO KAMILI HAYA HAPA CHINI

NAOMBA SAPOTI YA LIKES KWENYE BUSINESS PLAN COMPETITION

Nimeshiriki shindano la idea za ujasiriamali lililotangazwa na kampuni ya Total Duniani kwa idea ya STREET SKILLS DEVELOPMENT.

Katika masharti ya hilo shindano asiliamia 10 ya marks zitatokana na likes utazopata kwenye profile yako ya shindano. asilimia 90 wataamua majaji

Katika kutimiza hilo Tunaomba sapoti yenu kwa kila mmoja kupitia profile yetu na kuclick like. step za kuvote na kuweka like yako ni hizi zifuatazo.

1. click hiyo link chini ya haya maelekezo imeanza na neno start upper click hiyo link

Startupper of the Year - STARTUPPER OF THE YEAR BY TOTAL - [TANZANIA]

2. Baada ya kuclick hiyo link itakupeleka kwenye profile ya idea yetu Total. upande wa kushoto kuna neno LIKE (kwa wanaotumia pc) na kwa wanaotumia simu chini wataona LIKE. click hilo neno like baada ya kufata maelekezo. make sure umeona like yako imekamilika kwa kufata maelekezo yao.

3. Hapo unakuwa umemaliza kazi... Asante sana

Asanteni sana

mkumbuke likes zinazohesabiwa ni za kwenye link hiyo.. msilike hapa jf..

nawaomba wote muende kwenye link muweke like



wazee wa likes naombeni sana sapot yenu
 
Kwa hii Kazi yako tafuta mtu mwenye ushawishi mkubwa humu JF mpe hii Kazi ya kukunadi na kukuombea watu wakakupe likes zao kule. Itakuwa Kazi rahisi. Mfano Bold ana kijiji kikubwa sana. Akikisisitiza kikapige kura unatusua mapema sana.
Ngoja nikakupe like yako now mkuu
 
Mkuu ingekuwa process ni rahisi kukupa like ingependeza, ila mpaka ufanye registration

una log in kwa email, facebook, linkedin au twitter acc yako.. wanamonitor mtu mmoja asirudie rudie kutoa like.. ukawa ushindi wa zengwe.. wanataka mtu mmoja apige kura 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…