Wazee wa ligi. Dar - Mbeya

kaka upo dunia gani wewe? ana mwaka wa tatu kama sikosei na basi zake zilikuwa moto sana kwa kuwahi kufika Mbeya.
Usimshangae mdau Sangomwile maana siku hizi kwenye sekta ya usafirishaji kuna makampuni mengi mapya ndio yana dominate njia maana kama sikoi Nganga express ilianza kwa safari za Iringa to Mbeya and at that time ilikuwa ngalangala flani nadhani ndio maana mdau akauliza kwa kushangaa hasa ukizingatia ukute na yeye amepumzika kidogo kusafiri maana ukute alisafiri enzi za akina M Sleeping Coach (Mwanahapa)
 
Last edited by a moderator:
Hiyo nganga sijui ina mashine gani.walitupita na macopolo prince muro kama tumesimama
 
Kuna mashine moja ya Happy Nation nyuma imeandikwa "Voice of Manka". Hicho ni kisu, mwisho wa maneno. Sijajua hiyo scania engine yake ilifanywa nini. Hiyo ndo kiboko ya gari zote za Mbeya, iringa na Songea.

Engine ya Isuzu,kwa mujibu wa kondakta. Dar to mby ni 12- 10:30 mpaka kumi na moja.
 

Kiswere na fresh ya shamba enzi hizo tunashukia kisutu.......Lol
 
Last edited by a moderator:
Preta. hizo za mbele yake ni Mbeya Exp. Na Sumry high class
 
Last edited by a moderator:
nyie ligi hamjaifwatilia vzur cku hz ulize stand kuu mbeya au tunduma watawapa info kuna new force zhetong si yutong ya tunduma ile nilipanda tarehe 03 mwez hu mby sa kumi na m moja ikafuata twga km baada ya dkk 20 uzuri wa mchina yakiwa mapya
 
...hii ngoma sio ruaha mbuyuni kwenye milima milima...
Gefu. Hapo ni KITONGA-IRINGA
Hizo ni kona za Iyovi, kati ya Mikumi na Ruaha Mbuyuni. Kitonga hakuna mwamba uliochongwa upande wa kulia kama unatokea Dar-Mbeya. Wenyewe umechongwa upande wa kushoto kwa uelekeo huo wa Dar-Mbeya. Vilevile Kitonga haina wajihi huo unaoonekana hapo katika picha.
 
Twiga inte.amenunua hzo scania marcopolo used kwa mzee mremi wa Dar exp ndo mana zinaanz kuleta maheihei zishapga sana dar arusha mpk nairob wkt zlipoingia. Ni gari nzuri 2 bt kw safar za mbeya dar zitachemka sana coz zinahtaj ufundi mwingi na kupumzka .mfano aboud kaweka scania bodi za hapa mjini kw quality. Marcopol zke n mwish moro.
 
hivi niwaulize.....nyie wote mnaopenda mwendo wa hizo gari.......roho zenu mnakuwa mmeweka rehani.......?....kwa nini upande gari linalokimbia namna iyo.......?
 
kimpe. Bado sijamkubali Mchina NEW FORCE Zhutong. siku hiyo labda alibahatisha. hebu cheki hapa anavyoachwa na Marcopolo ABOOD
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376141821849.jpg
    52.3 KB · Views: 313
Last edited by a moderator:
NEW FORCE yupo nyuma ya TWIGA. 2 HAPPY NATION. 3. ABOOD Ya Tunduma. 4. NGANGA 5. Anaweza akawa UPENDO au HAI EXP. au NEW FORCE ndo aingie hapa
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376142953958.jpg
    31.4 KB · Views: 263
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…